Home video VIDEO: NAHODHA MORRIS ASEMA SABABU YA KUPOTEZA, ADAI FAULO ILIANIZA NDANI YA...

VIDEO: NAHODHA MORRIS ASEMA SABABU YA KUPOTEZA, ADAI FAULO ILIANIZA NDANI YA BOX

NAHODHA wa Azam FC Agrey Morris amesema kuwa walipoteza mchezo wao kwa makosa lakini faulo ilifanyiwa nje mwisho wa siku mtu akanzia ndani ya box na likaruhusiwa kuwa goli. Jana Juni 26 ubao wa Uwanja wa Majimaji ulisoma Azam FC 0-1 Simba katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE MPILI WA YANGA AGOMEA MECHI YA JULAI 3, TFF YAPIGWA MKWARA