Home Azam FC VIDEO: SURE BOY AMFUNGUKIA LWANGA WA SIMBA

VIDEO: SURE BOY AMFUNGUKIA LWANGA WA SIMBA

KIUNGO wa Azam FC Sure Boy amesema kuwa ilikuwa ni kazi ya Tadeo Lwanga kutimiza majukumu yake Julai 26 Uwanja wa Majimaji kama ambavyo yeye alikuwa akifanya hivyo pia licha ya kupoteza katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa bao -1-0.

 

SOMA NA HII  SIKU CHACHE BAADA YA KUILIZA YANGA...MAYELE AMPONGEZA FEI TOTO KWA KAZI NZURI....