Home video VIDEO:RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA YANGA, KAMILI KWA MCHEZO WA KESHO

VIDEO:RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA YANGA, KAMILI KWA MCHEZO WA KESHO

NAHODHA wa kikosi cha Ruvu Shooting Renatus Ambros amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga na wanaamini kwamba watapambana kupata pointi tatu katika mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MANENO YA MWALIMU KASHASHA ENZI ZA UHAI WAKE, PUMZIKA KWA AMANI