Home Simba SC BREAKING: MUGALU MCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA

BREAKING: MUGALU MCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA

 


BREAKING: Mshambuliaji wa Simba Chris Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Julai ndani ya Ligi Kuu Bara. 


Ndani ya mwezi Julai, Mugalu aliweza kufunga mabao matano katika mechi tano ilishinda mechi tatu, sare moja na ilipoteza mchezo mmoja.

Aliwashinda wawili alioingia nao fainali ambao ni Charlse Ilanfya wa KMC na Juma Luizio wa Mbeya City. 
SOMA NA HII  STAR SIMBA AFUNGUKA ISHU YA BALEKE KUPIGWA CHINI..." BORA TUSINGEMUACHA...."