Home Cecafa Cup MAKUNDI YA KAGAME 2021,SIMBA YAJIWEKA KANDO

MAKUNDI YA KAGAME 2021,SIMBA YAJIWEKA KANDO


 Makundi ya CECAFA 2021 huku Simba ikithibitisha kwamba haitashiriki mashindano haya maarufu kwa jina la Kagame.

Kundi A 

KCCA FC

Le Messager Ngozi

KMKM FC


Kundi B

Azam FC

Atlabara FC

Tusker FC


Kundi C 

Yanga

Nyasa Bio Bullet FC

Express FC

SOMA NA HII  YANGA KAZINI LEO KAGAME CUP, YAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA