Home kimataifa MBAPPE HATMA YAKE PSG HATA HAIJAFAHAMIKA

MBAPPE HATMA YAKE PSG HATA HAIJAFAHAMIKA


 HATMA ya nyota wa PSG, Kylian Mbappe ndani ya kikosi hicho bado haijafahamika baada ya nyota huyo kugoma kuongeza dili jipya.

Mbappe alitaja mambo mawili kwa klabu yake kwa kuwa aliwaambia anataka kuondoka kwa sasa kama itashindikana basi atasubiri mpaka mkataba wake utakapomeguka.

Staa huyo alieleza njia nyingine ni yeye kusalia hapo ni yeye kusaini dili jipya ambalo litakuwa na kipengele kinachomruhusu kuondoka hapo ikiwa atapata timu nyingine.

Ripoti zinaeleza kuwa mkataba ambao anautaka ndani ya PSG huenda utakwama kwa kuwa Ufaransa sheria za soka hilo halipo. 

SOMA NA HII  SANCHO HUYO ANUKIA MANCHESTER UNITED