Home video SAIDA KARORI: NILILALA CHUMBA CHA BUKU TANO

SAIDA KARORI: NILILALA CHUMBA CHA BUKU TANO

MSANII wa muziki Saida Karoli anasema kuwa anamshukuru Mungu kupitia kazi hiyo ameweza kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kujenga, kupata marafiki huku akibainisha kwamba aliwahi kupitia msoto na alikuwa analala kwenye chumba cha wageni cha buku tano mpaka pale Wasukuma walipoamua kuungana kumbeba baada ya Vyombo vya Habari kuripoti

 

SOMA NA HII  SIMBA: TULISHINDWA KUTUMIA NAFASI AMBAZO TULIZITENGENEZA