Home Habari za michezo AZIZ KI ATAMBA YANGA, ABEBA MILIONI 4 KIBOSI

AZIZ KI ATAMBA YANGA, ABEBA MILIONI 4 KIBOSI

Habari za Yanga

Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo.

Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo. Aziz Ki atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni 4 na tuzo kama ilivyobainishwa awali na mdhamini wa tuzo hiyo ambaye ni Kampuni ya NIC Insurance.

SOMA NA HII  NDANDA: TUPO TAYARI KUVAANA NA SIMBA