Home news TFF WAITWA MAHAKAMANI, KUJIELEZA KESHO

TFF WAITWA MAHAKAMANI, KUJIELEZA KESHO

 


Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Julai 1, 2021 imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa TFF na imemtaka Rais wa Shirikisho hilo, Mwenyekiti wa Uchaguzi na Bodi ya Wadhamini ya TFF, kufika Mahakamani hapo Ijumaa Julai 2, 2021 saa 3 asubuhi kujibu hoja za kwanini uchaguzi huo usisimamishe.

SOMA NA HII  KISA 'MVUA YA MAGOLI'....MBEYA CITY WAPAZA SAUTI KUHUSU TABIA ZA SIMBA KWA MAGOLIKIPA...