Home Simba SC UJUMBE WA HAJI MANARA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA SIMBA

UJUMBE WA HAJI MANARA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA SIMBA


 ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae rasmi:

“Kila tunapomaliza mechi yoyote ile ya Simba, neno langu la kwanza baada ya matokeo yoyote yale ni Alhamdulillah.

 

“Kwa wanaofuatilia page hii wanatambua hilo. Kwangu neno hili ndio msamiati ninauotumia mara nyingi zaidi na hufanya hivi kwa kila jambo, liwe jema au baya. Yes neno langu ni moja tu.

AL-HAMDULILLAH

SOMA NA HII  BREAKING NEWS:...BARBARA AJIUZULU SIMBA...AWAACHIA MSALA HUU WAJUMBE WA BODI...