LEO Julai 31 mabosi wa Yanga wamempokea mshambuliaji mpya Fiston Mayele ambaye amekuja kumalizana nao ili aweze kusaini dili jipya akitokea Congo.