SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa ikiwa watapoteza kwenye mchezo wao wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga Uwanja wa Lake Tanganyika, anyolewe nywele zake zote.