Home video VIDEO: SIMBA KUWAPA MOTISHA WACHEZAJI KUIMALIZA YANGA

VIDEO: SIMBA KUWAPA MOTISHA WACHEZAJI KUIMALIZA YANGA

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga motisha ipo ila hawezi kuiweka wazi na imani yake ni kwamba wanaweza kupata matokeo chanya. Pia ameweka wazi kwamba mchezo utakuwepo kwa kuwa timu zote zinafuata maagizo ya Serikali.

 

SOMA NA HII  VIDEO:YANGA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA MABAO