Home Ligi Kuu VPL: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC

VPL: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC


MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba leo Julai 18 amefikisha bao lake la 13 baada ya kufunga bao la kuongoza mbele ya Namungo.

Mchezo huu wa Ligi Kuu Bara Simba ambao ni mabingwa wa ligi wanapambana na Namungo FC.

Ilikuwa ni dakika ya 18 Kagere alipachika bao hilo kwa pasi ya Chris Mugalu.

SOMA NA HII  VIDEO: MTIBWA SUGAR TULIWAFUNGA YANGA MPAKA WAKACHANGANYIKWA,