Home video YANGA YAIPONGEZA SIMBA KUTWAA UBINGWA,TUKUTANE KIGOMA

YANGA YAIPONGEZA SIMBA KUTWAA UBINGWA,TUKUTANE KIGOMA

SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kwamba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa Simba mbele ya Coastal Union haiwaumizi zaidi wanastahili pongezi huku wao wakiweka wazi kwamba wana taji la Mapinduzi na wanaamini kwamba wanakwenda kuchukua taji la Kombe la Shirikisho kwa upande wa shabiki wa Simba yeye ameongea kwamba watakwenda kushinda Kigoma. 

 

SOMA NA HII  KOCHA DTB ANAAMINI KWAMBA TAMBWE ATAKUWA MFUNGAJI BORA