Home video VIDEO:KAPOMBE ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIZURI, AFUNGUKIA KAMBI YA MOROCCO

VIDEO:KAPOMBE ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIZURI, AFUNGUKIA KAMBI YA MOROCCO

416
0

BEKI wa Klabu ya Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa wanaamini kwamba Mungu akileta kheri msimu ujao watafanya vizuri, kuhusu kilichowafanya wafanye vizuri ni mapambano pamoja na ushirikiano.