Home news KAMWAGA WA SIMBA YADAIWA KUBWAGA MANYANGA

KAMWAGA WA SIMBA YADAIWA KUBWAGA MANYANGA


 IMEELEZWA kuwa Kaimu Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho.

Kamwaga alichukua mikoba ya aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ambaye alichimba kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na uongozi.

Alipotafutwa Kaimu  Ofisa Habari wa timu hiyo Kamwaga kwa njia ya simu hakuweza kupokea hivyo jitihada bado zinaendelea.

SOMA NA HII  MAMBO YA SAKHO NA SIMBA YAZIDI KUWA BAMBAM...ADHIHIRISHA KUWA YEYE MSIMU HUU NDIYO KILA KITU....