Home video VIDEO: MORRISON AMTOLEA UVIVU HAJI MANARA

VIDEO: MORRISON AMTOLEA UVIVU HAJI MANARA

KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison,amemjibu Haji Manara kupitia ukurasa wa Instagram baada ya kuwaomba Wananchi kujitokeza kwa wingi Uwanja wa ndege leo kumpokea Papaa Mopao ambapo Morrison aliamua kumtolea uvivu Manara kwa kusema kuwa kwa sasa amekuwa kiongozi wa watu kwenda mapokezi.


 Kesho kutakuwa na burudani kubwa Uwanja wa Mkapa ambapo atakuwepo Olomide katika kilele cha Wiki ya Mwananchi na utachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Zanaco FC. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: SAA 840 ZA HAJI MANARA NJE YA SIMBA