Home Simba SC BREAKING: RASMI, SIMBA YATHIBITISHA UHAMISHO WA LUIS NA CHAMA

BREAKING: RASMI, SIMBA YATHIBITISHA UHAMISHO WA LUIS NA CHAMA


UONGOZI wa Simba umetoa taarifa rasmi leo Agosti 16 kuhusu wachezaji wake wawili ambao ni Luis Miquissone na Clatous Chama kupewa ofa kutoka timu za nje ya nchi.


Kwa taarifa hiyo inakuwa ni rasmi kwamba nyota hao wawili ambao walikuwa na uwezo mkubwa ndani ya uwanja hawatakuwa kwenye ardhi ya Tanzania.

Luis anatajwa kuwa amemalizana na Al Ahly ya Misri huku Chama yeye timu ya RS Berkane. 


Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  KUHUSU USAJILI MPYA...SIMBA KUJA NA SAPRAIZI...DEWJI AWAKATAA KINA SHIBOUB..TRY AGAIN AMTAJA CHAMA...