Home kimataifa RONALDO DILI LAKE CITY LAYEYUKA, ATAJWA KUIBUKIA UNITED

RONALDO DILI LAKE CITY LAYEYUKA, ATAJWA KUIBUKIA UNITED


IMEELEZWA kuwa Manchester United wanajiandaa kupeleka ofa rasmi kwa ajili ya kumsajili Cristiano Ronaldo anayekipiga ndani ya Juventus.
Awali ilionekana kama Ronaldo anaelekea Ettihad lakini kwa sasa Man City wamejitoa katika mbio za kumuwania staa huyo.

Ronaldo amemuambia wakala wake Jorge Mendes kuwa yupo tayari kurudi Old Trafford.


SOMA NA HII  KUMBE DE GEA ALIPUUZIA MBINU, KAFUNGWA PENALTI 40