Home video VIDEO: CHEKI TIZI LA MAANA LA YANGA NCHINI MOROCCO, SI MCHEZO

VIDEO: CHEKI TIZI LA MAANA LA YANGA NCHINI MOROCCO, SI MCHEZO

WAKIWA nchini Morocco mabingwa wa kihistoria Yanga wanaendelea kupiga matizi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu wa 202/22 ambao unatarajiwa kuanza kukiwasha Septemba 29. 


Mechi ya ufunguzi ambayo ni ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba inatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Septemba 25.

 

SOMA NA HII  WAZIR JUNIOR:NITAENDELEA KUPAMBANA, HATUKUTARAJIA MATOKEO