Home video VIDEO: HAJI MANARA, NAIPENDA YANGA, NITAFANYA KAZI ZAIDI YA PUNDA MWENYE NJAA

VIDEO: HAJI MANARA, NAIPENDA YANGA, NITAFANYA KAZI ZAIDI YA PUNDA MWENYE NJAA

BAADA ya kutambulishwa kuwa miongoni mwa Wanachama wa Yanga,leo Agosti 24 Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa yeye ni Yanga na anaipenda timu hiyo huku akiahidi kufanya kazi zaidi ya punda mwenye njaa. 


Kuelekea kwenye Wiki ya Mwananchi amesema kuwa atakachokifanya hakijawahi kutokea.

 

SOMA NA HII  AUCHO:NIMEKUJA YANGA KWA AJILI YA USHINDANI