Home video VIDEO: MUUAJI WA YANGA AKUBALI KUJA KUCHEZA SIMBA,YANGA

VIDEO: MUUAJI WA YANGA AKUBALI KUJA KUCHEZA SIMBA,YANGA

NYOTA wa kikosi cha Zambia, Kelvin Kapumbu amesema kuwa anaweza kuja kucheza ndani ya Ligi Kuu Tanzania katika moja ya timu mbili kubwa kati ya Yanga ama Simba ikiwa Mungu atapenda.


 Nyota huyo jana Agosti 29 alizima furaha ya Yanga katika mchezo wa kilele cha Wiki ya Mwananchi baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 76 na kufanya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-2 Zanaco.

 

SOMA NA HII  VIDEO:SIMBA YAMTAMBULISHA NYOTA MPYA