Home video VIDEO: REKODI ZA KIUNGO WA YANGA AUCHO NI ZA KIBABE

VIDEO: REKODI ZA KIUNGO WA YANGA AUCHO NI ZA KIBABE

YANGA imekamilisha usajili wa kiungo, Khalid Aucho, hapa ni rekodi zake ambazo zinaonekana kuwa ni bora akiwa ndani ya uwanja. Dili lake likijibu uwanjani atakuwa ni tegemeo mambo yakiwa tofauti atakuwa na kazi ya kufanya ili kuwa bora zaidi msimu wa 2021/22.

 

SOMA NA HII  VIDEO: UTACHEKA, MBOTO AZUNGUMZA KICONGO, AMTAJA HAJI MANARA