Home Uncategorized MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE

MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE


LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.

Messi amesema kuwa hana neno la kusema juu ya usajili wa Antoine Griezmann ndani ya kikosi hicho.

“Sina la kusema juu ya usajili wake ndani ya kikosi chetu,” amesema.

SOMA NA HII  HIZI HAPA 14 KUMENYANA KUSAKA POINTI TATU