Home video VIDEO: TBC WALIPASUA KICHWA KUMPATA KASHASHA, PUMZIKA KWA AMANI

VIDEO: TBC WALIPASUA KICHWA KUMPATA KASHASHA, PUMZIKA KWA AMANI

ENOCK Bwigane ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Kashasha aliyekuwa mchambuzi wa masuala ya michezo katika kituo cha TBC ambaye ametangulia mbele za haki Jana, Agostii 19 ameweka wazi kwamba waliumiza kichwa kumpata mchambuzi mahiri mpaka wakampata Kashasha kwa sababu wapo wachambuzi wengi ambao wamepita hapo na hakuna ambaye alikuwa akidumu. Pumzika kwa amani Kashasha.

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YATAJA KILICHOKUWA KINAWAKWAMISHA, HAJI ATABANWA