Home video VIDEO:MCHAMBUZI WA SIMBA AANAMINI KWAMBA WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO

VIDEO:MCHAMBUZI WA SIMBA AANAMINI KWAMBA WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO

MCHAMBUZI wa mifumo ndani ya kikosi cha Simba, Culvin Mavunga amesema kuwa wanaamini kupitia pre-season wataimarika zaidi na kurejea kwenye msimu ujao wakiwa imara.


 Simba jana ilikwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.

 

SOMA NA HII  VIDEO; MAZOEZI YA TWIGA STARS KWA AJILI YA MCHEZO WA KIMATAIFA DHIDI YA NAMIBIA