Home video YANGA: AUCHO HADI BARCELONA WALIMTAKA KUMPA MKATABA, MANARA ANAWACHANGANYA

YANGA: AUCHO HADI BARCELONA WALIMTAKA KUMPA MKATABA, MANARA ANAWACHANGANYA

SHABIKI mtata wa Yanga amebainisha kuwa nyota wao mpya Khalid Aucho alikuwa anahitajika na timu ya Barcelona ila GSM walimpandia dau. Pia wameongeza kuwa Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Yanga amewachanganya Wanasimba.  

 

SOMA NA HII  VIDEO:YANGA YAITANGAZIA VITA SIMBA, MORRISON AANDALIWA KUIUA AZAM FC