video

VIDEO:RIVERS UNITED YAIKAZIA YANGA, YAWEKA WAZI KWAMBA ITAWAFUNGA TENA NIGERIA

admin September 13, 2021 3:43 am

KIPA wa timu ya Rivers United ameweka wazi kuwa walifanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ulichezwa Uwanja wa Mkapa na timu hiyo kushinda kwa bao 1-0 na ameweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao wa marudiano wanahitaji kushinda kwa mara nyingine


Ameongeza kuwa Yanga wanaongea sana tena.
SIMBA WATAJA SABABU YA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI VIDEO:KUMBE KIPA WA AZAM AWEKA WAZI KUWA WALITESEKA,HESABU ZAO HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply