Home video EXCLUSIVE: MASAU BWIRE ATUPA DONGO KIMTINDO YANGA KISA UBINGWA,KUIPA SAPOTI SIMBA

EXCLUSIVE: MASAU BWIRE ATUPA DONGO KIMTINDO YANGA KISA UBINGWA,KUIPA SAPOTI SIMBA


MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kwa sasa wapo kwenye mpango wa kujadili kuhusu kauli mpya kwa msimu wa 2021/22 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.


 Aidha kimtindo amezungumzia kuhusu timu moja ambayo hakuitaja jina, (Yanga) kuwa anasikia kuna moja ya timu ambayo ikiwaambia Watanzania kwamba wanakuja kuchukua ubingwa wanakuwa na mambo mengine, ila wao (Ruvu Shooting) wapo kwenye ushindani. Kuingia kwenye mashindano hesabu zao ni kutwaa ubingwa.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KIUNGO OCHEWECHI AKUBALI KUTUA SIMBA