Home video HAJI MANARA TAMBO KAMA ZOTE, NGUVU ZAO SASA NI KWENYE LIGI KUU...

HAJI MANARA TAMBO KAMA ZOTE, NGUVU ZAO SASA NI KWENYE LIGI KUU BARA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa baada ya kutwaa Ngao ya Jamii sasa nguvu zinaelekezwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ambapo tayari kikosi cha Yanga kilichojumuisha wachezaji 25 kimeibukia Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Septemba 29, Uwanja wa Kaitaba.


 Ni ushindi wa bao 1-0 waliupata mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa Uwanja wa Mkapa Septemba 25. 

Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa ni furaha kubwa kuona wanashinda Ngao ya Jamii mbele ya mtani wao wa jadi Simba.

 

SOMA NA HII  VIDEO:MAKAMBO AWATUIA UJUMBE SIMBA, APIGA HESABU ZA KUFUNGA