Home Uncategorized FA: SIMBA 0-0 MWADUI FC

FA: SIMBA 0-0 MWADUI FC


Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 Mwadui
Uwanja wa Uhuru
Kombe la Shirikisho hatua ya 32 Bora

Dakika ya 20 Dilunga anafanya jaribio ndani ya 18 akiwa na mabeki wa Mwadui inapaaDakika ya 16 Kagere anakosa nafasi ya wazi kwa kupiga shuti linalokwenda nje jumla
Dakika ya 14 Kakolanya anaokoa hatari akiwa na mshambuliaji wa Mwadui
Dakika ya 11 Mwadui wanapiga faulo
Dakika ya 10 Simba wanaanzisha mashambulizi kwa Mwadui
Dakika ya 9 Kahata anapoteza pasi akiwa ndani ya 18
Dakika ya 6 Kagere anakosa nafasi ya wazi akiwa na kipa
Dakika ya 4 Kapombe anakosa nafasi ya wazi kwa kupaisha mpira juu
Uwanja wa Uhuru Kipindi cha Kwanza mchezo wa Kombe la Shirikisho

SOMA NA HII  YANGA YAINGIA ANGA ZA BEKI ANAYEKIPIGA ZAMBIA, AKUBALI KUTUA MAZIMA