Home Uncategorized ISHU YA KIUNGO MIQUISSONE NI NZITO KWA SIMBA, YAPIGA HODI FIFA

ISHU YA KIUNGO MIQUISSONE NI NZITO KWA SIMBA, YAPIGA HODI FIFA

UONGOZI wa Simba kupitia Ukurasa wake wa Instagram umetoa taarifa kuhusu wachezaji wake wapya ambao imewasajili kwenye dirisha dogo.

Simba iliwasajili viungo viwili ambao ni Luis Miquissone na Shiza Kichuya wote viungo.

Kuhusu Luis Miquissone taarifa imeeleza kuwa ITC yake bado haijafika (jambo hilo limeshafikishwa FIFA na linafanyiwa kazi)

Shiza Kichuya pia ITC yake bado haijafika (klabu ya Pharcos ya Misri bado haijajibu maombi yetu ya kutuma ITC)

SOMA NA HII  SAINI YA SUREBOY YANGA BADO NI PASUA KICHWA