Home video HALI ILIVYO UWANJA WA KARUME, MARA

HALI ILIVYO UWANJA WA KARUME, MARA

LEO Septemba 28, Biashara United wanapenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, ngoma inapigwa Uwanja wa Karume, Mara ambapo timu zote zinapambania kusepa na pointi tatu muhimu. Hali ilivyo kwa sasa Mara ipo hivi:- 

 

SOMA NA HII  VIDEO: BASHUNGWA AKABIDHIWA KOMBE LA CECAFA LEO