Home kimataifa MAHREZ AFUNGIWA ENGLAND

MAHREZ AFUNGIWA ENGLAND


NYOTA wa kikosi cha Manchester City, Riyad Mahrez amefungiwa kuendesha gari nchini England baada ya kukutwa akiendesha kwa kasi.

Staa huyo raia wa Algeria alikutwa akiendesha gari kwa spidi 120. Licha ya kufungiwa pia amepigwa faini ndefu.


Faini yake ni pauni 2,500 na hatakiwi kuendesha gari kwa siku 56 adhabu yake ilianza juzi jioni.

Kiungo huyo alikuwa anaendesha gari yake aina ya Audi RS6 lenye thamani ya pauni 100,000 likiwa ni moja ya magari yanayopendwa na wachezaji wengi. 

SOMA NA HII  KISA MWENDO WA JONGOO WA RONALDO...ROONEY AVUNJA UKIMYA...AICHANA MAN UTD KWA KUMSAJILI...