Home video MASAU BWIRE:SIO SIMBA TU,KILA TIMU HATA YANGA, AZAM FC

MASAU BWIRE:SIO SIMBA TU,KILA TIMU HATA YANGA, AZAM FC

MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa kuna umuhimu wa Simba kuweka siku maalumu kwa ajili ya kumuenzi Hanspope ambaye ametangulia mbele za haki na alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba. 


Ameweka wazi kuwa kuvaa barakoa ya Simba ni nidhamu kwake kwa kuwa alikuwa na barakoa yake. Suala la kukaribishwa kwenye upande wa viongozi wa Simba ni heshima kwake kutokana na kuwa ni mtu wa kawaida.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ASEMA NAMBA YA HAJI MANARA HAIPATIKANI