Home video TAZAMA NAMNA KIPA WA BIASHARA UNITED ALIVYOPEWA MKWANJA

TAZAMA NAMNA KIPA WA BIASHARA UNITED ALIVYOPEWA MKWANJA

BAADA ya kipa namba moja wa Biashara United, James Ssetupa kutimiza majukumu yake kwenye mchezo wa jana Septemba 28 dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Karume, Mara alipewa fedha za kutosha kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi.

 

SOMA NA HII  TAZAMA MORRISON,WAWA WALIVYOZINGUANA, SAKHO NA MUGALU WANA PROGRAM