Home video VIDEO:ALICHOKIFANYA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA

VIDEO:ALICHOKIFANYA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA

ILIKUWA ni siku mbaya kwa mashabiki wa Yanga baada ya kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 0-1 Rivers United kwenye mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa.


 Tazama namna Ofisa Habari wa Yanga Haji Manara alichokifanya baada ya kushuhudia hali hiyo Uwanja wa Mkapa baada ya Wanaijeria kusepa na ushindi.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA, NAMUNGO WALITUZIDI, BAO LA MORRISON NI LA MSIMU