Home video WASOMALI WA AZAM FC KUKIPIGA AZAM COMPLEX

WASOMALI WA AZAM FC KUKIPIGA AZAM COMPLEX

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wao wa marudio dhidi ya Horseed FC ya Somalia yanakwenda vizuri na mchezo huo wa Shirikisho hatua ya awali utachezwa Uwanja wa Azam Complex badala ya ule wa Uhuru ambao ulitajwa kuchezwa awali. Katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Azam FC ilishinda kwa mabao 3-1.

 

SOMA NA HII  KIBADENI AGUSIA ISHU YA CHAMA NA LUIS,AIONYA SIMBA KUHUSU YANGA