Home news YANGA WAAIIGA SIMBA KIMATAIFA WAJA NA VISIT KILIMANJARO & ZANZIBAR

YANGA WAAIIGA SIMBA KIMATAIFA WAJA NA VISIT KILIMANJARO & ZANZIBAR


 KLABU ya Yanga leo Septemba 17 imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii, ya kuvaa jezi zenye nembo ya VISIT KILIMANJAO & ZANZIBAR kwenye michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa na kwa sasa ipo kwenye hatua za awali za Ligi ya Mabingwa.


Mchezo wao ujao ni wa marudio dhidi ya Rivers United ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Septemba 19 nchini Nigeria.


SOMA NA HII  HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA, MANARA AUTAJA KUWA BORA