Home Azam FC PICHA ZA NDINGA MPYA YA AZAM FC

PICHA ZA NDINGA MPYA YA AZAM FC

 MATAIRI wa Dar es Salaam, Klabu ya Azam F imetambulisha ndinga mpya moja matata sana kali mno.

Basi hilo jipya la Azam FC wao wanasema ni ndege ya ardhini, Marcedes Benz Irizar i6S Plus.

Cheki ilivyo muonekano wake acha kabisa.





SOMA NA HII  PAMOJA NA KUTOKUTUMIKA KWENYE MECHI ZA CAF..HII HAPA SABABU YA SIMBA KUSAFIRI NA CHAMA LEO...