video

CHEKI NAMNA WACHEZAJI WA SIMBA WALIVYOKUWA WAKIKIMBIZANA

admin October 7, 2021 10:43 am


NYOTA wa Simba, Henock Inonga alichofanyiwa na beki Gadiel Michael wakati wa mazoezi ya utimamu wa mwili ilikuwa ni kichekesho kwa wote baada ya Gadiel kumrukia na kuchukua kitambaa kilichokuwa mwilini mwake.


 Ilikiwa hivi Kocha Didier Gomes aliwataka wachezaji wake kukimbizana kwa kupokonyana vitambaa ndipo Gadiel alipofanya ujanja huo na kuwaacha wachezaji na kocha wakicheka.

 Hata zamu ya Bernard Morrison, Ibrahim Ajibu pamoja na Jonas Mkude hawa nao walikuwa wana jambo lao pale Uwanja wa Boko.

 

KIPA WA YANGA DIARRA AINGIA KWENYE VITA NA MANULA NDEGE MPYA YA AZAM FC INAYOTEMBEA ARDHINI KUPITA KWA MWENDO WA TARATIBU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply