video

KOCHA TWIGA STARS ABAINISHA WALIKUWA NA HOFU,SHANGWE LATAWALA

admin October 8, 2021 10:43 am


BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Twiga Stars amebainisha kuwa mchezo wao wa COSAFA dhidi ya Zambia walianza kwa hofu kubwa kipindi cha kwanza ila kipindi cha pili kulikuwa na mabadiliko.


 Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Twiga Stars ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 kwa kuwa dakika 90 ngoma ilikuwa 1-1. Baada ya ushindi huo wachezaji pamoja na benchi la ufundi ilikuwa ni full shangwe.

 

NDEGE YA ARDHINI MALI YA AZAM FC IPO PANDE ZA MBEYA NYOTA WA YANGA KUKUNJA MAMILIONI ILI KUTWAA TAJI LA LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply