Home Ligi Kuu KIKOSI BORA CHA LIGI KUU WANAUME NA LIGI KUU WANAWAKE HIKI HAPA

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU WANAUME NA LIGI KUU WANAWAKE HIKI HAPA


Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanaume

1. Aishi Manula

2. Shomari Kapombe

3. Mohamed Hussein

4. Joash Onyango

5. Dickson Job

6. Mukoko Tonombe

7. Clatous Chama

8. Feisal Salum

9 . John Bocco

10. Prince Dube

11. Luis Miquissone.


Kikosi bora cha Ligi ya Wanawake;


1. Janeth Shija

2. Julieth Singano

3. Happy Hezron

4. Vaileth Nicholas

5. Fatuma Issa

6. Amina Bilali

7. Stumai Abdallah

8. Opa Clement

9. Aisha Masaka

10. Mawete Mussolo

SOMA NA HII  SIMBA YAJIBU KILIO CHA MASHABIKI....KAZI KUANZA RASMI KESHO...CHAMA MAPEMA TU....