Home video STARS MGUU SAWA KUIVAA BENIN KESHO,WACHEZAJI WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO

STARS MGUU SAWA KUIVAA BENIN KESHO,WACHEZAJI WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wanatambua kesho watakuwa na kazi ngumu mbele ya Benin ila wapo tayari.


 Anaamini kwamba utakuwa mchezo wa wazi na mzuri kwa kuwa ule wa awali Stars ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa.Pia wachezaji leo wakiwa nchini Benin walifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa kesho.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA ULAYA AWAPIGA MKWARA YANGA, WACHEZAJI YANGA WADAIA KUJIANGUSHA