Home video TAZAMA WANAJESHI WA MPAKANI WALIVYOWASILI NA NDINGA YAO KWA MKAPA

TAZAMA WANAJESHI WA MPAKANI WALIVYOWASILI NA NDINGA YAO KWA MKAPA

MASTAA wa Biashara United leo Oktoba 13 walikuwa na kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya kimataifa dhidi ya Al Ahly Tripol ya Libya unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 15, Uwanja wa Mkapa. 


Wanajeshi hao wa mpakani waliwasili namna hii Uwanja wa Mkapa na ndinga yao. 

 

SOMA NA HII  SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO