Home news MKUTANO MKUU SIMBA: KASSIM DEWJI APEWA MIKOBA YA HANS POPE…’TRY AGAIN’ KAMA...

MKUTANO MKUU SIMBA: KASSIM DEWJI APEWA MIKOBA YA HANS POPE…’TRY AGAIN’ KAMA KAWA AFANYA YAKE…


Bodi ya Klabu ya Simba, imemteua NdugU Kassim Dewji kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu hiyo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Marehem Zacharia Hans Pope.

Kassim ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Klabu hiyo miaka ya hivi karibuni, ameteuliwa huku akiaminika ni miongoni mwa watu mashuhuri kwenye usajili .

Akimtangaza hivi leo kwenye Mkutano Mkuu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Ndg Salim Muhene ‘Try Again’ amesema kuwa Bodi ya Simba inaimani kubwa Kassim Dewji huku akiweka wazi kuwa Klabu itampa ushirikiano wa kutosha kufanya usajili mzuri.

SOMA NA HII  BAADA YA SIMBA KUTOLEWA CAF....CHAMA AANDIKA UJUMBE HUU MZITO