Home kimataifa BREAKING: OLE GUNNER AFURUSHWA MAN UNITED….ZIDANE KURITHI NAFASI YAKE…

BREAKING: OLE GUNNER AFURUSHWA MAN UNITED….ZIDANE KURITHI NAFASI YAKE…

 


HATIMAYE Klabu ya  Manchester United imefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake Ole Gunner Solskjaer, hatua hiyo inafuatia matokeo mabaya mfululizo ikiwemo kipigo cha 4-1 kutoka kwa Watford Jumamosi ya Novemba 20.

 Baada ya saa 5 za mazungumzo hatimaye pande zote zimekubaliana kuvunja mkataba huo, timu kwa sasa itakuwa chini ya viungo wa zamani wa klabu hiyo Michael Carrick na Fletcher.

Mpaka sasa Zinedine Zidane ndiye chaguo namba moja  kuwa mbadala wa Ole Gunnar Solskjaer.

SOMA NA HII  KISA LIVERPOOL KUSUA SUA EPL....RIO FERDINAND AIBUKA NA HILI KALI YA MWAKA KWAO....