Home Habari za michezo BAADA YA KUFURUSHWA JANA….KINYOONGEEE SIMBA WAANZA SAFARI YA KURUDI BONGO ..SAKHO AFURAHI…

BAADA YA KUFURUSHWA JANA….KINYOONGEEE SIMBA WAANZA SAFARI YA KURUDI BONGO ..SAKHO AFURAHI…


Kikosi cha Simba SC kimeanza Safari ya kurejea nchini kutokea Afrika ya kusini walikokwenda kwa ajili ya mchezo wa pili, Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates.

Simba wameondolewa katika mashindano hayo kwa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Orlando Pirates usiku wa Jana katika Uwanja wa Orlando.

Urejeo huu ni ishara ya kuwa wanajiandaa kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtani wake wa Jadi Yanga utakaopigwa April 30.

SOMA NA HII  KWA SIMBA HII MAJI MTAITA MMAA....WAKALA WA BANGALA ASHUSHA KIFAA CHA KAZI MSIMBAZI...