Home Habari za michezo BREAKING….RATIBA LIGI KUU NBC YAPANGWA UPYA…YANGA vs NAMUNGO YAPEWA TARHE MPYA…

BREAKING….RATIBA LIGI KUU NBC YAPANGWA UPYA…YANGA vs NAMUNGO YAPEWA TARHE MPYA…


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za kufanyika kwa michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC ambayo hapo awali haikupangiwa tarehe kutokana na ushiriki wa klabu za Yanga, Simba, Biashara United na Azam kwenye michuano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF).

Michezo ambazo hazikupangiwa tarehe hapo awali sasa zitachezwa kama ifuatavyo;

Aprili 23, 2022 Young Africans SC vs Namungo FC Saa 1:00 usiku Benjamin Mkapa (Dar es salaam).

Mei 5, 2022 Biashara United FC vs Dodoma Jiji FC Saa 10:00 jioni Nyamagana (Mwanza).

Mei 7, 2022 Azam FC vs KMC FC Saa 1:00 usiku Azam Complex (Dar es salaam).

Bodi ya Ligi itaendelea kupitia ratiba ya Ligi na kuzipangia tarehe mechi zote ambazo kwenye ratiba iliyotangazwa kabla Ligi haijaanza, hazikuwa na tarehe.

SOMA NA HII  SIMBA BAADA YA KUMPA THANK YOU SAWADOGO, MAPYA YAIBUKA